nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
Jana katika uzinduzi wa kapmeni za chama cha Mapinduzi (CCM) tumeshuhudia vitu vingi vizuri kama uhuru wa watu kushangilia kwa amani na utulivu, pia tumeshuhudia maandamano makubwa na pia muda ulizidishwa dakika zipatazo 36, lakini kwa kuzingatia mahitaji na matarajio ya wananchi kupata au kusikia hoja, polisi waliweza kutulia bila kupiga mabomu ili watu watawanyike, Ni vizuri sana
Ombi langu kwa Polisi, Tunaomba pia muwe hivyo kwa wenzetu wa upande wa pili (Wapinzani), Msisababishe vurugu zisizo na lazima, acheni watu waandamane waende kwenye uzinduzi, hata muda ukizidi tuvumilie kwa siku hiyo ya uzinduzi
Tufanye siasa za kuvumiliana
Nashukuru sana
jana katika uzinduzi wa kapmeni za chama cha mapinduzi (ccm) tumeshuhudia vitu vingi vizuri kama uhuru wa watu kushangilia kwa amani na utulivu, pia tumeshuhudia maandamano makubwa na pia muda ulizidishwa dakika zipatazo 36, lakini kwa kuzingatia mahitaji na matarajio ya wananchi kupata au kusikia hoja, polisi waliweza kutulia bila kupiga mabomu ili watu watawanyike, ni vizuri sana
ombi langu kwa polisi, tunaomba pia muwe hivyo kwa wenzetu wa upande wa pili (wapinzani), msisababishe vurugu zisizo na lazima, acheni watu waandamane waende kwenye uzinduzi, hata muda ukizidi tuvumilie kwa siku hiyo ya uzinduzi
tufanye siasa za kuvumiliana
nashukuru sana
Wale Ni Sawa Na Mbwa Afugwae Hawezi Kumbwekea Mfugaji Wake.
Mbuzi wa Bwana Heri, shamba la Bwana Heri......Mikidadi hatopata haki sawa
Nani kasema watasababisha fujo siku hiyo ya UKAWA?
jeshi letu linahitaji marekebisho makubwa ili liwe jeshi linalofanya kazi zake kwa weledi na kufata misingi ya haki za binadamu