Hiyo mechi saa ngapi?
Maombi yoyote yalio jaa chuki na wivu huwa hayapokelewi kwa mwenyezi mungu........Mungu tunaomba Yanga ipate kipigo cha Paka shume...Amina
Maombi yoyote yalio jaa chuki na wivu huwa hayapokelewi kwa mwenyezi mungu........
Labda kwa mashetani tu.na nguvu ya shetan haiwezi kizid nguvu ya mwenyezi mungu.
Hilo ndio la maana.hapo umetoa kauli ya kimchezo.Tusubiri tuone sasa..
By statics tokea miaka ya 1980s Kandambili alivyokuwa akikutana na Al Ahly kapigwa goal 14 kwa 1 tena YeboYebo moja lenyewe kachomoa wiki iliyopita.