Kila kitu ni kwa kiasi

Mh! Amejiondoa mwenyewe katika vigezo vya kuwa mke.
 
simba na ukari wote ana zaa ije kua baunsa?
 
Wale wanaotaka wake zao peke yao bila kushare fursa ndo hyo, msijesema hatukuwaambia
 
ukimuopoa demu kama huyo akifika maskani anaanza kuviulizia vyuma kama vipo.
kwasbabu yeye akili yake yote ipo kwenye vyuma.
Ukimzingua anakupiga ngumi mbili za mbavu unakaa sawa.
 
Tena huyo kwenye sita analegea acha tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…