Hebu tulia,alaf andika upya vizuri.
Ila kwa jinsi nilivyokuelewa,nahisi tatizo lako linatokana na umri (nashindwa kusema utoto).
Achana na haya mambo,kazana kwanza na shule. Muda wako ukifika,haya mambo utayafurahia mkuu.
By the way mwanafunzi wa chuo hawezi kutype vibaya kama hivi.