Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,360
- 11,507
Nashauri tu katika harakati za kupungumza maambukizi ya Ukimwi kuwe na Kampeni hii. Nmejifunza kwa alichosema Rais wa Usa Joe Biden kuwa kila atakayechanjwa atalipwa usd 100.
Nikawaza na sisi kweli hatuwezi fanya kampeni kama hiyo? Je si vema sasa kutumia pesa kukinga maisha ya hawa binadamu ambao wameshajichokea?
Ni mtizamo tu. Msikasirike.
Nikawaza na sisi kweli hatuwezi fanya kampeni kama hiyo? Je si vema sasa kutumia pesa kukinga maisha ya hawa binadamu ambao wameshajichokea?
Ni mtizamo tu. Msikasirike.