Kuna mlolongo wa malalamiko ya wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma waliobakiza muda kidogo wa utendaji kabla ya kustaafu!
Malalamiko hayo ni pamoja na kubadilishiwa wakurugenzi na kuletewa wakurugenzi wanaowanyanyasa na kuwahamishia mikoa ya mbali na familia zao,kwenye huduma duni za huduma za kijamii na gharama kubwa za maisha.
Hii linaonekana kama mbinu ya kuwakarahisha ili waache kazi mapema na hivyo kukosa mafao yao.
Naomba nikumbushe tena,hiki ni kipindi cha uchaguzi,na hawa wanaoonewa na familia zao ni wapiga kura!
ePUKA KUWA MCHUMIA TUMBO UNAETUMWA TUMWA NA OVYO KISA MASLAHI YA UKAWA, hayo ulioyaongea hapo hayana ukweli wowote, tafuta mambo ya msingi kijana, unapoteza muda mwingi kuandika uongo kisa eti umetumwa. Lol

Nina mama ambaye ni nesi na anasafiri kwa bodaboda umbali wa km 14 kila siku.Nauli tu anatumia elfu saba kila siku
Hicho chama hakitufai Teeeeeenaa. Lowassa Kura yangu
analipwa shilingi ngapi huyo nesi wako? nauona uongo humu.Nina mama ambaye ni nesi na anasafiri kwa bodaboda umbali wa km 14 kila siku.Nauli tu anatumia elfu saba kila siku
Kuna mlolongo wa malalamiko ya wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma waliobakiza muda kidogo wa utendaji kabla ya kustaafu!
Malalamiko hayo ni pamoja na kubadilishiwa wakurugenzi na kuletewa wakurugenzi wanaowanyanyasa na kuwahamishia mikoa ya mbali na familia zao,kwenye huduma duni za huduma za kijamii na gharama kubwa za maisha.
Hii linaonekana kama mbinu ya kuwakarahisha ili waache kazi mapema na hivyo kukosa mafao yao.
Naomba nikumbushe tena,hiki ni kipindi cha uchaguzi,na hawa wanaoonewa na familia zao ni wapiga kura!
huo uongo mwengine tena. hivi kunafamilia ya kitanzania ambayo inamchangia mfanyakazi nauli ya kwenda kazini? wakati sio ajabu yeye ndo muajiriwa pekee kwenye hiyo familia na tegemeo lao? nenda kawadanganye wale nyumbu wenzako labda watakuelewa.Ndio tia maji tia maji hivyo,tunajichanga kama familia apate nauli mpaka atakapopata kiinua mgongo chake!
huo uongo mwengine tena. hivi kunafamilia ya kitanzania ambayo inamchangia mfanyakazi nauli ya kwenda kazini? wakati sio ajabu yeye ndo muajiriwa pekee kwenye hiyo familia na tegemeo lao? nenda kawadanganye wale nyumbu wenzako labda watakuelewa.
Kuna mlolongo wa malalamiko ya wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma waliobakiza muda kidogo wa utendaji kabla ya kustaafu!
Malalamiko hayo ni pamoja na kubadilishiwa wakurugenzi na kuletewa wakurugenzi wanaowanyanyasa na kuwahamishia mikoa ya mbali na familia zao,kwenye huduma duni za huduma za kijamii na gharama kubwa za maisha.
Hii linaonekana kama mbinu ya kuwakarahisha ili waache kazi mapema na hivyo kukosa mafao yao.
Naomba nikumbushe tena,hiki ni kipindi cha uchaguzi,na hawa wanaoonewa na familia zao ni wapiga kura!
Kuna mlolongo wa malalamiko ya wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma waliobakiza muda kidogo wa utendaji kabla ya kustaafu!
Malalamiko hayo ni pamoja na kubadilishiwa wakurugenzi na kuletewa wakurugenzi wanaowanyanyasa na kuwahamishia mikoa ya mbali na familia zao,kwenye huduma duni za huduma za kijamii na gharama kubwa za maisha.
Hii linaonekana kama mbinu ya kuwakarahisha ili waache kazi mapema na hivyo kukosa mafao yao.
Naomba nikumbushe tena,hiki ni kipindi cha uchaguzi,na hawa wanaoonewa na familia zao ni wapiga kura!
eti na wewe ni mwanaume! mwanaume gani mbeya. wewe labda tutumie neno la kiingereza kuwa wewe ni male sio man.