Wakuu samahani nahitaji kununua hii bidhaa online marketing ambayo ni kikuuu ila nna wasiwasi View attachment 2003218sasa naweza nikapata hii simu yenyew au ntakua nmepigwa
Kwa ufupi KIKUU wapo vizuri unapolipia mpaka kupata mzigo wako, moja ya ushaidi ni mimi mwenyewe, mara ya kwanza niliagiza mzigo usiozidi shs 20kl ukafika mpaka mlangoni.
Mara ya pili nikaongeza kidogo, na mara ya tatu nikaagiza mazagazaga tofauti ya elektroniki yalifika salama.
KiKUU wao hawana tatizo, wenye matatizo ni zile kampuni unazonunua kwao na kikuu wanafungasha kuanza kusafirisha, ila binafsi hawajawahi kuniangusha.
Mtoa mada unatakiwa ukiona bidhaa ifungue utaletwa maelezo ya kina kuhusu hiyo bidhaa badala la kukurupuka as you done.