utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
basi huyo ndo apeche alolo hapo gambe gambeHuyu jamaa ametrend sana..ila news zake nying nimezipuuzia lakn leo ametake headline at the maximum...imebid niulize huyu mtu ni nani?
ndo walichokiwa wanakitafuta wahusikaNafikir leo Peire amekiki zaid kuliko ile "Aiii Mama nakufa yake"
si walitaka kiki98% ya yaliyoandikwa mitandaoni leo yanamsapoti Pierre.....
bila jina lake asaiv hupat kiki wamuulize Mond kafanya kiki zote lakin kwa hiki kisiki kakwamaKuna Konki master na Konki liquid....konk liquid atabaki kuwa juu.....
Ukiona hivyo ujue wanaochagua viongozi ni wapiga gambe kwani Uganda the cranes alilala kwa nguvu zao na hata kule Uingereza viongozi wa Leicester city wametangaza leo wakishinda ni mashabiki kunywa buree
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanyaje??nipo jirani na jengo la wasafi tv ..muda si mrefu mtapokea habari mbaya kuhusu hii station..Mond ana hali mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo jirani na jengo la wasafi tv ..muda si mrefu mtapokea habari mbaya kuhusu hii station..Mond ana hali mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio upo mexicana unapoza koonipo jirani na jengo la wasafi tv ..muda si mrefu mtapokea habari mbaya kuhusu hii station..Mond ana hali mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Leicester city ladies au juniors maana walio epl walicheza janaUkiona hivyo ujue wanaochagua viongozi ni wapiga gambe kwani Uganda the cranes alilala kwa nguvu zao na hata kule Uingereza viongozi wa Leicester city wametangaza leo wakishinda ni mashabiki kunywa buree
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unatutisha mana ndo mwenye mziki huyo na bila huyo kutoka 2009 mpaka leo wakenya wangekuwa wanatamba dogo alikuja kugeuza mchezo mzima lazima alindwenipo jirani na jengo la wasafi tv ..muda si mrefu mtapokea habari mbaya kuhusu hii station..Mond ana hali mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app