Yes upo sahihi wengi wametolewa ngarenanyuki,kikatiti,na meru momelaMimi hata kabla ya kupata hii habari nimejua kabisa huo mkutano wa ccm kwa huko Arusha lazima ni wazee tu wamehudhuria na vijana wachache wanaotazama TBC1. Hao watu wa Arusha walishaamka miaka mingi. Na hata hao wazee wengi itakuwa ni wa nje ya mji maana wa hapo mjini wanajua fika ccm haina uungwaji mkono bali kinachoendelea ni hujuma.
Endeleeni kujidanganya. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na 2020 ndo mtajua wananchi wa Arusha wanafikiria nini juu ya Upinzani. Mwisho wa siku najua mtasema mmeibiwa kura.Mimi hata kabla ya kupata hii habari nimejua kabisa huo mkutano wa ccm kwa huko Arusha lazima ni wazee tu wamehudhuria na vijana wachache wanaotazama TBC1. Hao watu wa Arusha walishaamka miaka mingi. Na hata hao wazee wengi itakuwa ni wa nje ya mji maana wa hapo mjini wanajua fika ccm haina uungwaji mkono bali kinachoendelea ni hujuma.
Endeleeni kujidanganya. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na 2020 ndo mtajua wananchi wa Arusha wanafikiria nini juu ya Upinzani. Mwisho wa siku najua mtasema mmeibiwa kura.
Sasa unalalamika nini mkuu??Ukisikia kususwa ndo huku yaani ccm leo wamepata aibu ya mwaka kuna magari yalipita yakizoa watu wakiahidiwa chakula bure kuanzia kikatiti hadi kisongo
Cha ajabu wazee tu tena wamebebwa kule meru tengeru nimejikuta nachekaaa
Inamaana arusha hakuna vijana ccm?Asilimia 95 ya waliohudhuria ni wazee
Kingine nilichoshangaa ni mabus yaliyowarudisha nayo wanachama ni mabus ya miaka ya 50's sijui wameyatoa wapi
Halaf ccm arusha huu mchezo wenu wa kushusha bendera za chadema usiku na kupandisha za ccm haukubaliki....
Nimeamini ccm arusha ni kaskazini nzima ni watu wa kuforce tu mambo bila polisi na madc na wakuregenzi hamna lolote mmesuswaView attachment 1164885View attachment 1164886View attachment 1164887
Usindi wa mezwaniLakini watashinda
Kwa kasi hii ya Serikali ya awamu ya 5 Ni wehu kama wewe ndo wanaweza kudiriki kusema ulichokisema. Kama watu hawashiriki kupiga kura ni kwasbbu hakuna mbadala wa kumpigia kura tofauti na CCM. Hiyo Arusha toka wamechagua Upinzani wamepata nni? Sanasana wanashuhudia Lema ametoka kwenye umaskini sasa hivi anaishi kitajiri. Wao maisha yao yapo vilevile. Si bora alipoingia magufuli angalau hata wamachinga wamepata ahueni. Mbunge kila siku kutukana watu. Maendeleo jimboni kwake hakuna.Kwa taarifa yako, sasa hivi wala watu hawasemi tena wanaibiwa kura kwani hilo linafahamika, bali hawashiriki tena kwenye kupiga kura baada ya kupuuza hilo zoezi la kupiga kura kutokana na ushenzi unaofanywa tena kwa uratibu wa vyombo vya dola.
Hamna mtu mwenye akili timamu atasimama kwenye mstari wa kura kupoteza mda wake kwenye uchaguzi kiini macho.
Watu wa Arusha wanajitambua wala sio mazoba wa kutofahamu nini kinaendelea.