MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Sio viongozi pekee , hata kuna baadhi ya watumishi wa Umma ni zaidi ya "aisee.."Sina neno hapa ila viongozi aisee...
Kuna muda unaona Bora miaka yetu ipite tu tuondoke basi..Sio viongozi pekee , hata kuna baadhi ya watumishi wa Umma ni zaidi ya "aisee.."
Vipi dereva wa serikali..Mimi nilijua unaleta kile kipimo ambacho kinaweza kuhesabu mpaka siku zako.
Kumbe ni ngonjera
Mkuu mbona kama unatulaani watumishi wa umma! Kumbuka wewe ulishastaafuSalama Ndugu zangu?
Maisha hayapimwi kwa wingi wa mali, fedha, dhahabu n.k vinavyomilikiwa na mtu, familia, ukoo, Mtaa, kijiji, Wilaya, Mkoa, Taifa, Bara.
Bali maisha yanapimwa kwà UTU (Akili, Elimu, Maarifa na Maono)
Note: Tumeumbwa ili kuja kujibu MITIHANI YA MAISHA, na ili tuweze kuyashinda MAJARIBU YA DUNIA.
Ushauri kwà Viongozi pamoja na Watumishi wa Umma wa Taifa langu la Tanzania. Ndugu zangu, chondechonde, embu kuweni na UTU. Acheni kutesa watu wasiokua na hatia. Msitumie vyeo vyenu kujinufaisha wenyewe pamoja na familia zenu, marafiki, ndugu na jamaa zenu.
View attachment 2630948
Mwisho wako wa kufikiri ndio umeishia hapo Ndugu. Umeshindwa kusoma btn the lines ukaokota hata kachupa ka maji kaka kusaidia?Mimi nilijua unaleta kile kipimo ambacho kinaweza kuhesabu mpaka siku zako.
Kumbe ni ngonjera
Lakini kuondoka tu bila legacy daah !!Kuna muda unaona Bora miaka yetu ipite tu tuondoke basi..
Legacy Ya nini? Ukitenda wema tu kwa nafasi yako hiyo ndio legacy yako..Lakini kuondoka tu bila legacy daah !!
Kunà baadhi yenu ni watu wa hovyo sana. Mnatesa sana watu wasiokua na hatia.Mkuu
Mkuu mbona kama unatulaani watumishi wa umma! Kumbuka wewe ulishastaafu
Lord have mercy [emoji120]Legacy Ya nini? Ukitenda wema tu kwa nafasi yako hiyo ndio legacy yako..
Huwezi kuyadhibiti makambale wakati wewe hapo ni kiluwiluwi
Sio poaLord have mercy [emoji120]
Hatari sana!Sio poa
Karibuni sana. Nami nawafuatilia kwà mbaliMpekejiwa mtoto wA makune, tunakufatillia kwa karb