Kijana ataka kukata nyeti za baba yake!

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
808
Reaction score
389
Ni kutoka kilosa-morogoro ambapo kijana huyo alitaka kufanya hivyo baada ya kumshaur baba yake asioe mke wa pili na kughairi.
 
Asiowe kwani anamkera nn au anamuonea wivu babake?
 
atakuwa hajui matatizo yanayo mkabili baba yake na familia yake lazima kuna kikwazo :israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…