Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,413
- 40,703
#Houthi wanazitwangwa kweliSafi sana.
Yaani wewe mada zako ni za kuuana tu!.Wasalimie.wenzio kambini.Tanker Marlin LuandaATTACH=full]2884407[/ATTACH]View attachment 2884408
Mada za vitaYaani wewe mada zako ni za kuuana tu!.Wasalimie.wenzio kambini
Uhalifu upi?Hao majangiri leo mnafurahia uhalifu wao lakini wakianza kupigwa mnakimbilia mahakamani
Anashangaza mnoo kwa kweli.Yaani wewe mada zako ni za kuuana tu!.Wasalimie.wenzio kambini
Kwani ni UK tu iliungana na US, mbona kuna nchi kadhaa hata za Kiarabu?Kiherehere kimeiponza Uingereza baada washirika wengi wa Marekani kukataa kuungana na Marekani kuishambulia Yemen Uingereza ikajitokeza na kukaza shingo kuwashambulia Houthi sasa meli zake zinazamishwa zikiwa na shehena ya mafuta/mizigo kwenda Israeli..
Bila Hamas kuvamia Israel hizo casualities zingetokea?Uhalifu upi?
Usiwe punguani Israel wameuwa watu zaidi ya 23.000 kuna uhalifu kama huo?
Acha kuwa mateka wa akili
Unaonekana ufahamu chochote kuhusu Palestina na Israel kwa akili yako vita vimeanza Oct 7.Bila Hamas kuvamia Israel hizo casualities zingetokea?
Majangili ni wazungu sheikhHao majangiri leo mnafurahia uhalifu wao lakini wakianza kupigwa mnakimbilia mahakamani
Mpakwa mafuta madhabahuniHabari kutoka madrasut
✍️ Sio wakianza kupigwa, tuungane kuukataa uonevu.Hao majangiri leo mnafurahia uhalifu wao lakini wakianza kupigwa mnakimbilia mahakamani
Leo tunamlaumu Rwanda kuvuka mipaka ya Congo na kufanya uhalifu lakini Marekani kila sehemu anavuka mipaka nakuiba mchana kweupe na Dunia ipo kimya watu waamke waache kulishwa matango pori na Nchi za Magharibi.Sio wakianza kupigwa, tuungane kuukataa uonevu.
Hawa washenzi walishajiona wao ndio wenye hati Miliki na hii Dunia.
Sasa hivi Kila mtu ana ndevu lazima tuheshimiane tuu
Uhalifu upi?
Usiwe punguani Israel wameuwa watu zaidi ya 23.000 kuna uhalifu kama huo?
Acha kuwa mateka wa akili
Yeye mwenyewe Gaidi.Israeli anapambana na magaidi