Nadhani hapo sijaelewa vizuri ni kigugumiza gani unachoongelea wewe,Je kigugumizi ambacho huwa normal kwa binadamu au kile kigugumizi kinachompata mtu akiwa anaongea na mwanamke??Nadhani hapo kama kigugumizi kinakupata wakati unaongea na mwanamke nadhani hapo atakuelewa tu na atajua mwenyewe!!