Kigoma wamkubali Tingatinga

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538




Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa Kawawa mjini Kigoma.
 
Tingatinga lina sifa moja kubwa,..Linatumia nguvu nyingi sana katika kushughulikia tatizo lililokuwa mbele yake hata kama halikuhitaji nguvu kubwa kiasi hicho.Madhara ya nguvu kubwa katika tatizo dogo lina madhara makubwa mno.Mifano 1.Wachina walishinda ktk kesi na mamilioni yanatakiwa kulipwa kwa kodi zetu 2.Makandarasi waliosimamishwa pasipo taratibu wamelipwa mamilioni kwa jasho la walalahoi 3.Mamilioni yametumika kujenga barabara mbovu kwa pupa ambazo zimeharibika kabla ya uzinduzi...Tunamchagua LOWASSA 2015.
 

Walimhujumu kwenye samaki aliowakamata ili wapate cha kuongea na ndo mnaongea leo, mlimhujumu lakini kumbe hamkujua alilolipanga Mungu hata kwa miaka 20 ijayo ni lazima litimie ..nghebe zenu zimefika mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…