JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,013
nipo kasulu mjini, kituo cha kupigia kura cha juhudi. Nimekuja kupiga kura yangu ya siri! Watu waliojitokeza mwanzo kujiandikisha walikuwa wengi. Ila leo hata nusu ya waliojiandikisha, hawafiki!
usiache kutupa yanayojiri
Jimbo la Kigoma mjini halitabiriki kwa kweli maana yeyote yule kati ya Zitto wa ACT, Kabouru wa CCM au Rumenyela wa CDM anaweza akaibuka kidedea japokuwa jimbo lina wagombea 16
Kasulu mjini hapa nipo kituo cha katikati ya Mji stend ya tax,
Vijana ni wengi sanaaaaa tuna Nyonga leo
Tatizo leo hapa kasulu mjin kuna kamvua so watu waweza wasipige kura leo.