chadema kuweni wavumilivu musilazimishe mambo siyo mbaya mtu kutoa ushauri unajua nyie mupotofautiana kitogo tu na mtu anakuwa adui yenu nakibaya zaidi nipale munapoaza kumuchogea kwa umma mzima eti msaliti. sasa hivi huyu bwana alikuwa mwezenu lakini kule kutoa ushauri kuhusu munavyo mufanyia kijana zitto imekuwa nongwa. kwanini?
wewe ukigombana na mumeo unaitisha press conference?chadema kuweni wavumilivu musilazimishe mambo siyo mbaya mtu kutoa ushauri unajua nyie mupotofautiana kitogo tu na mtu anakuwa adui yenu nakibaya zaidi nipale munapoaza kumuchogea kwa umma mzima eti msaliti. sasa hivi huyu bwana alikuwa mwezenu lakini kule kutoa ushauri kuhusu munavyo mufanyia kijana zitto imekuwa nongwa. kwanini?
Hivi kafichwa au kajificha?.... Hali aliyokuwa nayo angeweza kutoka hata kusafiri safari yas mbali, tofauti na yaliyomkuta Dr. Ulimboka.Joseph Yona ameondolewa hospitali alikokuwa akipatiwa matibabu na kufichwa kusikojulikana.
Haya ni mazingaombwe mengine ya kuwahadaa watanzania na vitendawili visivyo teguka.
Kipi ni mazingaombwe na kitendawili kisichoteguka hapo! Kasema ameingia mgogoro na Mbowe na Slaa kuhusu Zitto na wenzake, yeye alikuwa upande wa Zitto. Hapo tunangojea nini? Kamata Mbowe na Slaa tupa kureeeeee!
JUMAMOSI, JANUARI 11, 2014 10:16 NA PATRICIA KIMELEMETA
Kwa mujibu wa chanzo hicho, familia imefikia uamuzi wa kumhamisha baada ya kuona watesi wake (wabaya) wanamfuata Yona hospitalini hapo
Familia ya Yona ilimuomba daktari aliyekuwa akimtibia kumruhusu kuondoka, ili aweze kutibiwa na daktari binafsi chini ya uangalizi maalumu wa familia, kwa sababu watesi wake walikuwa wakimfuata hospitalini hapo.
Kama wabaya wanajulikana kwanini hawakamatwi.
Isijekuwa hii nayo ni sinema nyingine!
chadema kuweni wavumilivu musilazimishe mambo siyo mbaya mtu kutoa ushauri unajua nyie mupotofautiana kitogo tu na mtu anakuwa adui yenu nakibaya zaidi nipale munapoaza kumuchogea kwa umma mzima eti msaliti. sasa hivi huyu bwana alikuwa mwezenu lakini kule kutoa ushauri kuhusu munavyo mufanyia kijana zitto imekuwa nongwa. kwanini?
chadema kuweni wavumilivu musilazimishe mambo siyo mbaya mtu kutoa ushauri unajua nyie mupotofautiana kitogo tu na mtu anakuwa adui yenu nakibaya zaidi nipale munapoaza kumuchogea kwa umma mzima eti msaliti. sasa hivi huyu bwana alikuwa mwezenu lakini kule kutoa ushauri kuhusu munavyo mufanyia kijana zitto imekuwa nongwa. kwanini?
Mkuu naona unalalamika unataja chadema hivi chadema ni kina nani sababu unavyo taja utadhani kunamtu unamhamu anaitwa chadema.
Hivi kafichwa au kajificha?.... Hali aliyokuwa nayo angeweza kutoka hata kusafiri safari yas mbali, tofauti na yaliyomkuta Dr. Ulimboka.