Kifuatacho Eye Tea Vee

Dah pombe haina baunsa,jamaa kalegea ka ruba vile hapo udenda mpaka magotini...
 
Chezea pombe za bure wewe?
 
Hapo ndipo walevi wanaponishangaza..! Starehe iko wapi hapo sasa baada ya kuchoma hela ya matumizi ya nyumbani kwake..?
 
Pombe kamwe haitageuka kuwa chai pole zake hapo lazima akiamka aangushie gari kwa mbele.
 
Buji buji acha ukorofi bwana inakuwaje unaweka picha za mchungaji
 
Kuna wakati fulani nilikua huko Kyela, sasa ili kuwakomoa walevi kulikuwa na vijana fulani walikuwa wanachukua chupa za bia kisha wanazikojolea na kuzirusha chini ya viti vya walevi hao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…