Mimi Dawa ya kukutibia ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.Habar wakuu,
licha yakwenda hospital mara kadhaa nakupewa dawa but maumivu ya kifua+kubana bado yananitesa sana.Nahitaji msaada wenu.
Cc MziziMkavu etc
Habari wakuu,!
Nikilala usiku kifua kinabana mpaka nashindwa kupumua nini tatizo? Kabla sijamuona doctor.
Nahisi Unaweza Ukawa Na Tatizo Langu Sugu La PUMU Mkuu. Je Na Wewe Una Huo Ugonjwa Mkuu? Kama Jibu Ni Ndiyo Basi Nakuomba Tafuta Upesi Dawa Either Ya Maji Or Ya Vidonge Iitwayo " SALBUTAMOL " Ambayo Unakunywa Tu Kidonge Kimoja Kutwa Mara 3 Na Sikushauri Utumie Ile Dawa Ya Kupuliza " Inhaler " Kwani Ukiizoea Ile Muda Si Mrefu Jina Lako Litabadilika Hapa Duniani Na Utatuacha Tunakulilia. Pole Lakini Kwa Tatizo Ulilonalo La Kusumbuliwa Kushindwa Kupumua. Nikisikia Mtu Analalamika Kuhusu Matatizo Ya Kupumua au Kifua Kubana Huwa Najihisi Kama Mimi Vile Kwani Najua Anavyoteseka. Mwenyezi Mungu Akupe Nafuu!
shukran sana mkuu. Maana sometimes nikiwa nakimbia nikisimama tu lazma nihisi kizungu zungu na nikiendelea kusimama lazma nianguke.
mzee ulipona?Habar wakuu,
licha yakwenda hospital mara kadhaa nakupewa dawa but maumivu ya kifua+kubana bado yananitesa sana.Nahitaji msaada wenu.
Cc MziziMkavu etc