State Propaganda
Member
- Apr 25, 2024
- 87
- 240
Nani amekudanganya!Siku hz vita ni anga haya madude ya ardhini yana mchango mdogo
T-90 tank is the most powerful tank in the world. A third generation Russia tank which is equipped with a 125mm cannon, a dual 7.62 mm machine gun and a 12.7mm M/T machine gun.Mrusi wa Buza vipi hali ya mafuriko huko?
Tofautisha uwezo wa silaha kwenye maandishi na field.Mkuu, hivi hizo siyo State Propaganda kweli?
Kwa sababu nijuavyo mie ni kwamba ubora wa silaha fulani vitani hutegemea silaha zingine zote plus intelligence services.
Je, Ukraine amewezeshwa 100% kwenye accessories zingine akalingana na Mrusi?
Au ni Abrams, Challenger na Leopards tu???
Ili jaribio fulani liwe hamuli (viable) lazima vigezi/factors vingine vyote viwe taini (constant).
Je, mchakato huu wa jaribio umefuatwa???
Kwa mantiki hiyo unadhani hitimisho husika ni la kisomi au kichomi???
Alieprove naniTofautisha uwezo wa silaha kwenye maandishi na field.
Kifaru kama leopard kilipambwa sana mitandaoni kama ni 'mighty' tank.
Lakini field in war ground kimeprove failure kubwa.
Umeelewa hoja au unakurupuka tu kama mwewe?Tofautisha uwezo wa silaha kwenye maandishi na field.
Kifaru kama leopard kilipambwa sana mitandaoni kama ni 'mighty' tank.
Lakini field in war ground kimeprove failure kubwa.
Do your homeworkAlieprove nani
Na uharibifu ni wa asilimia ngapi?
Sitaki gazeti
Jidanganye mzeeSiku hz vita ni anga haya madude ya ardhini yana mchango mdogo
Watu wanatumiana drones nyie wekezeni kwenye makambi ya jktJidanganye mzee
Curious, how old are you, are you a child?Umeelewa hoja au unakurupuka tu kama mwewe?
Just only 2 millions USD comrade!Bei gani hicho nimshauri Bi mkubwa walau bajeti hii tupate tuwili na patriotic Moja vya kuanzia kwanza.
Mafuriko yanekwishwa kwani barafu zote zineshasepa kwenye uso wa ardhi,tunaendekea kumnyoosha jirani mchokozi🤪Mrusi wa Buza vipi hali ya mafuriko huko?
Kwani kabla ya kuwezeshwa Ukraine alikuwa na nguvu gani kwani?Mkuu, hivi hizo siyo State Propaganda kweli?
Kwa sababu nijuavyo mie ni kwamba ubora wa silaha fulani vitani hutegemea silaha zingine zote plus intelligence services.
Je, Ukraine amewezeshwa 100% kwenye accessories zingine akalingana na Mrusi?
Au ni Abrams, Challenger na Leopards tu???
Ili jaribio fulani liwe hamuli (viable) lazima vigezi/factors vingine vyote viwe taini (constant).
Je, mchakato huu wa jaribio umefuatwa???
Kwa mantiki hiyo unadhani hitimisho husika ni la kisomi au kichomi???
Drone zinachukua maeneo ? Au unazungumzia vita za kushambuliana mbali mbali kama vichaa ?!.Watu wanatumiana drones nyie wekezeni kwenye makambi ya jkt
Kwenye vita vya aridhini, temea mate chini mzee wangu, hayo madude siyo.Siku hz vita ni anga haya madude ya ardhini yana mchango mdogo