hahahahhaha kwahiyo wakikutest ukikatwa ujue bado..? vipi kuhusu wale ambao wanafukiwa Kaburini siku7 then wanafukuliwa au kuwekwa kwenye pipa la maji ya moto kama kipimo chakuzindikwa ili wakomae vizuri..?Yaah...Vidono ni utamaduni wa kuchanjia asili yake Buha-Kigoma. Ila kabla unatestiwa kama imekolea kwa kukatwa panga likidunda basi...lakini kama bado ndo nitolee.
Mtu huyo anaweza hata kupigana na watu 20 na wakafloat,risasi inadunda,kisu,panga ,mshale havifui dafu.
Eh hii sasa kali kufukiwa siku saba?? Hapana kwa kwelihahahahhaha kwahiyo wakikutest ukikatwa ujue bado..? vipi kuhusu wale ambao wanafukiwa Kaburini siku7 then wanafukuliwa au kuwekwa kwenye pipa la maji ya moto kama kipimo chakuzindikwa ili wakomae vizuri..?
Unakitwa panga linakutifua kweli unafukiwa au kuwekwa kwenye pipa la maji moto unaiva lol shida zote za nnNadhani hapa kwenye kipimo kama dawa imefana ndipo kwenye ugumu wa hii chanjo.
Hilo tu mengine sina ujuzi nayoni
Ni hilo tu au kuna kingine...?
Ok ushaelewekaHilo tu mengine sina ujuzi nayo