Kiburi cha madaraka au ubinafsi?

dream

New Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Ina maana wenye mamlaka wameamua kupuuzia hizi wanazosema ni sauti za wachache au kiburi cha madaraka na ubinafsi?

Kila lisemwalo mtandaoni linaonekana ni jambo la wachache au sio wenye maana. Wenye mamlaka wakipanda jukwaani wanajibu kwa kebehi maandiko na mapendekezo yanayo ungwa mkono na watumia mitandao kama vile si raia wala kinacho semwa hakina mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…