Xkalinga JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 475 Reaction score 317 May 26, 2011 #2 Kuna wakati inabidi kutumia akili sio kuonesha comedy.Mwizi akidhamiria hachomoi hapo mlangoni pa waleti anakata hiyo ngozi/plastik kilaiani na anakunja mzigo!!!akikwapua nzima nzima utamzuiaje hapoaliyeunda hiyo sijui aliwaza nini??
Kuna wakati inabidi kutumia akili sio kuonesha comedy.Mwizi akidhamiria hachomoi hapo mlangoni pa waleti anakata hiyo ngozi/plastik kilaiani na anakunja mzigo!!!akikwapua nzima nzima utamzuiaje hapoaliyeunda hiyo sijui aliwaza nini??
wende JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 714 Reaction score 67 May 26, 2011 #3 Du sipati picha about uzito wa ilo lock in comparison na iyo 4ne.
blackdog Member Joined Jan 9, 2011 Posts 89 Reaction score 8 May 26, 2011 #4 huyo ni mshamba ,simu ni kitu kigeni kwakwa