Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Mkuu jitahidi uwe unaweka link kama hivi:Simba humiliate Yanga - SuperSport - Football na sio kutype kama ulivyofanya wewe.
Simba ni timu kubwa wamfanikishie mourinho Aje siye wanachama tuko yatari kuchangishana kumlipa mshahara nk nk
Mkuu, uko sahihi. Bahati mbaya natumia Mchina Mobile Phone. Weka tovuti ya Simba na siyo ya Supersport. Anyway, faraja pekee kwa Simba ni 5-0 baada ya kufulia hatimaye mnarudia makocha mliowatimua ninyi wenyewe.
Sawa mkuu, mwaka huu tuko dhoofu khali; kama kifaranga kanyeshewa mvua ya mawe. Ngoja jembe letu la mwaka 1978 liloongoza mauaji ya 6-0 tulilete labda litatufuta machozi.Mkuu, uko sahihi. Bahati mbaya natumia Mchina Mobile Phone. Weka tovuti ya Simba na siyo ya Supersport. Anyway, faraja pekee kwa Simba ni 5-0 baada ya kufulia hatimaye mnarudia makocha mliowatimua ninyi wenyewe.
Sawa mkuu, mwaka huu tuko dhoofu khali; kama kifaranga kanyeshewa mvua ya mawe. Ngoja jembe letu la mwaka 1978 liloongoza mauaji ya 6-0 tulilete labda litatufuta machozi.
tovuti ya simba kuna mahacker wamefanya yao
Tatizo la Simba mnapenda sana kuiga, mkiona Yanga wanakocha mzungu nanyi mnafuata upepo. Kibadeni kaifikisha Simba fainali ya CAF, ilikuwaje mkamtema? Kama Fergie kazeekea ManU na Wenger Ars, kwa nini Kibadeni alitimuliwa?
Ha,ha,ha eti kibaden!watani mnachekesha Remmy njoo uone uendawazimu mwingine wa simba ya Rage.
Akili finyu zilizotumika kumuuza okwi na kununua kipa wa kuja kukaa bench ndizo zinaendelea kutumia hadi leo kwa timu kama simba ambayo inaenda kucheza mpaka mechi za nje ya nchi kumkabizi Kibadeni.sikatai kuwa Kibadeni hana uwezo,lakin simba si level yake.na haya yote ni kwaajili ya fitina za Julio.hamna chochote simba ni upuuzi juu ya upuuzi
mpaka apewe mzungu ndo uone levo za simba tatizo mmekariri mzungu anajua kila ki2
Dah,kwanini hawakumpa julio na zile mbwembwe zake angeweza kuwafuta machozi watani.
Mngeanza kwanza na deni la Amir Maftah
Ha,ha,ha eti kibaden!watani mnachekesha Remmy njoo uone uendawazimu mwingine wa simba ya Rage.
Akili finyu zilizotumika kumuuza okwi na kununua kipa wa kuja kukaa bench ndizo zinaendelea kutumia hadi leo kwa timu kama simba ambayo inaenda kucheza mpaka mechi za nje ya nchi kumkabizi Kibadeni.sikatai kuwa Kibadeni hana uwezo,lakin simba si level yake.na haya yote ni kwaajili ya fitina za Julio.hamna chochote simba ni upuuzi juu ya upuuzi
unajua sio mara ya kwanza kibadeni na mwenzake julio kufanywa spea tairi,,Kaegeshwa tu! Kwa wale wanaofahamu 'Statics', jamaa yuko 'simply supported' hivyo yuko 'Statically Determinate', anaweza kuhimili 'vertical loads' pekee yaani wakati wanashinda tu. Ikija 'horizontal force' yaani kufungwa ni lazima aanguke. Kila la heri Kibadeni, usitoe nguo zote kwenye begi ili muda ukifika usepe fasta.
hahaahahahaha..kweli msomali mmemchoka ..ila ttz msiomtaka hamna mbinu za kumtoa..?kama ilishindika kipindi kile basi tena....tuvumilie tuIla nakubali Rage aende zake, simba inadidimia