Khanga party photos


Chunga mdomo wako please!
Hapa siyo sehemu ya kuongea ongea ovyo tena mambo yasiyokuwa na maadili!

Mind u siyo lazima uchangie ikiwa huana la kusema waweza kaa kimya.
 
HAYA MAMBO YA KANGA NI HATARI SANA,
YAANI MIMI NIMEKWAMA SANA ACHANA NA HIYO MAMBO..............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

:yield::hippie::smile::nono::bowl:
 
Izo style za kanyela mumo sijazipenda inakuwa kama mtoto kavaa pampas.
Uvaaji wa khanga nenda uswahilini uko choo cha public mtu katoka kuoga na wala hajajifuta maji anakatiza mbele yako alafu ana kijungu na chupi kaishika mkononi
 
Raha ya mwanamke awe na khanga moja iliyolowana utamuuu wote njee njee

Mkuu tuwekee bac na hizo za Kanga zilizolowa, au katika hayo mashindano hicho kipengele hakikuwepo?, kama hakikuwepo basi washauri hao waandazi wa hiyo show wakiweke hicho kipengele,
 
we pengo, kwani slaa na mkuu wa kaya nani anapenda mademu zaidi. kwa taarifa yako mkuu wa kaya ana watoto hadi hajui idadi yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…