Kwenye ule wimbo alioshirikishwa na Masauti mbona anaonekana ana mwili mdogo. Au ndio mambo ya 360 ?Huyu kiumbe kusema ukweli acha ajiite OG..n kweli ni OG maana rap zake hazijawahi niacha salama,ninapo msikiliza ahisi raha ya kua mwanamuziki YES una u feel ule mzki unavyopenya halafu ukijumlisha Hit zake kwenye Spika ndio balaa kabisa ukiwa na MUSIC SYSTEM ya kueleweka ukaweka nyimbo za huyu mtu unaeza jihisi upo studio
View attachment 1144579
Mtu mwingine ni wa nyumbani huyu hajatoka mbali nae najikuta namuelewa anajiita mbunge wa binadamu mpaka wanyama Proffesor J (wa mitulinga),
Huyu mshua nae napenda flow zake ila beat za nyimbo zake hazijakaza kama za Khaligraph...
Yote kwa Yote Khaligraph namba ingine.
View attachment 1144580
Mwite SUPER MAN au O.G
my favourite hits ni "zote" ila hasa ambazo kaua peke ake bila shirikisha mtu
END.
Mwambie akuoe tuHuyu kiumbe kusema ukweli acha ajiite OG..n kweli ni OG maana rap zake hazijawahi niacha salama,ninapo msikiliza ahisi raha ya kua mwanamuziki YES una u feel ule mzki unavyopenya halafu ukijumlisha Hit zake kwenye Spika ndio balaa kabisa ukiwa na MUSIC SYSTEM ya kueleweka ukaweka nyimbo za huyu mtu unaeza jihisi upo studio
View attachment 1144579
Mtu mwingine ni wa nyumbani huyu hajatoka mbali nae najikuta namuelewa anajiita mbunge wa binadamu mpaka wanyama Proffesor J (wa mitulinga),
Huyu mshua nae napenda flow zake ila beat za nyimbo zake hazijakaza kama za Khaligraph...
Yote kwa Yote Khaligraph namba ingine.
View attachment 1144580
Mwite SUPER MAN au O.G
my favourite hits ni "zote" ila hasa ambazo kaua peke ake bila shirikisha mtu
END.
Kumbe camera zinamkuza.. nadhani huwa anawaambia wam zoom out ili aonekane giant.Khaligraph ni mfupi...sio giant kama unavyomuona kwenye video zake..kamzd stamina centimeter 5
yes..sio Giant km Mm yule...Khaligraph ni mfupi...sio giant kama unavyomuona kwenye video zake..kamzd stamina centimeter 5
Wazaz wake ni wasambaa?ile ni mbegu fupi... mbegu ya kisambaaa
Mbona ni mrefu ukiangalia coke studio kalingana na rude boy wa p -squareile ni mbegu fupi... mbegu ya kisambaaa