Habari waungwana!
Kwa wale wajuzi wa settings za computer/mipakato naomba mnijuze ktk hili.
Natumia laptop HP620, W7 ultimate. Lakini issue iko pale ninapofanya typing, ninapobonyeza SHIFT then herufi kwa lengo la kutafuta capital letter inaniletea vitu vya ajabu.
Mfano: Shift = SXHIFVT, ? = :?, M = JM, S = SX etc.
Nifanye nini ili kuondoa utata huo:? JMsaada wenu tafadhari

capital letter haitafutwi kwa kubonyeza shift+herufi,ila unatakiwa ubonyeze CAPS LOCK,sijui km nimekuelewa vizur
Habari waungwana!
Kwa wale wajuzi wa settings za computer/mipakato naomba mnijuze ktk hili.
Natumia laptop HP620, W7 ultimate. Lakini issue iko pale ninapofanya typing, ninapobonyeza SHIFT then herufi kwa lengo la kutafuta capital letter inaniletea vitu vya ajabu.
Mfano: Shift = SXHIFVT, ? = :?, M = JM, S = SX etc.
Nifanye nini ili kuondoa utata huo:? JMsaada wenu tafadhari
disable sticky keys
Ni jinsi gani naweza kudisable hiyo sticky key?