W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,604 Reaction score 3,982 Sep 1, 2018 #1 Habari ya saa hizi. Nahitaji msaada wa haraka kuhusu Tanesco "key change" Nimenunua luku ikakataa hadi nipige simu tanesco kisha wafanye key change , naomva mwenye ufahamu anisaidi tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya saa hizi. Nahitaji msaada wa haraka kuhusu Tanesco "key change" Nimenunua luku ikakataa hadi nipige simu tanesco kisha wafanye key change , naomva mwenye ufahamu anisaidi tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,522 Reaction score 14,005 Sep 1, 2018 #2 Nadhani imebadikishiwa tariff,hivyo ni lazima ununue umeme kwenye madirisha ya LUKU yaliyopo Tanesco ili upate token. Pole mkuu kama ndio hivyo ninavuojua,hadi Jtatu.!
Nadhani imebadikishiwa tariff,hivyo ni lazima ununue umeme kwenye madirisha ya LUKU yaliyopo Tanesco ili upate token. Pole mkuu kama ndio hivyo ninavuojua,hadi Jtatu.!
W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,604 Reaction score 3,982 Sep 1, 2018 Thread starter #3 Looh mbona balaaaa! Wanabadilisha taarif bila taarifa? Sent using Jamii Forums mobile app