mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 Jul 25, 2012 #21 Mwig ulu atamuandaa tena yule mke wa kada wa magamba iliaendelee kuvunja amri ya sita kama kampeni ya awali kwake ni vicheko tu maana alisha lipa gharama ya kumtumia
Mwig ulu atamuandaa tena yule mke wa kada wa magamba iliaendelee kuvunja amri ya sita kama kampeni ya awali kwake ni vicheko tu maana alisha lipa gharama ya kumtumia
H Hofstede JF-Expert Member Joined Jul 15, 2007 Posts 3,577 Reaction score 1,121 Jul 25, 2012 #22 chitalula said: Kwa niliyoyaona segerea hapa hamna kesi ya kushiinda ccm Click to expand... kushindwa Mahakama yao na hakimu hana uwezo wa kuamua kushindwa kwa ccm. labla apate memo toka magogoni kuwa asiogope aamue anavyoona yeye
chitalula said: Kwa niliyoyaona segerea hapa hamna kesi ya kushiinda ccm Click to expand... kushindwa Mahakama yao na hakimu hana uwezo wa kuamua kushindwa kwa ccm. labla apate memo toka magogoni kuwa asiogope aamue anavyoona yeye
P politiki JF-Expert Member Joined Sep 2, 2010 Posts 2,376 Reaction score 1,519 Jul 26, 2012 #23 thanks very much kibogo for the update, we are expecting to get much info on 20.08.2012
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Jul 26, 2012 #24 Duh!Kazi ipo