Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Tulishinda kesi zote za Ukuta.....na nyingine nyingi na hii ya huyu Shonza tunashinda asubuhi na mapema.....Kujazana mahakamani sio kushinda kesi
Binafsi sijakuelewa mkuuInatakiwa afichwe, mngese wahedi huyu.
Elimu ya hapa na pale [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajielewi hajui kuwa mahakamani ni nguvu Ya sheria sio nguvu Ya ummaKujazana mahakamani sio kushinda kesi
Hufahamu kama mmemuomba shonza muyamalize?acha ushabiki ugumu wa kesi anaujua mshitakiwaTulishinda kesi zote za Ukuta.....na nyingine nyingi na hii ya huyu Shonza tunashinda asubuhi na mapema.....
Sent using Jamii Forums mobile app