Kateni rufaa kama ndo hivyo ila mbarali jimbo wakati wa uchaguzi ilikuwa liende chadema lakini kiburi na kuzarau wengine jidawaya kazamoyo na liberatus mwang"ombe wakaacha kumaliza tofauti zao na kula nyingi zilipotea ubaruku baada ya watu wa kule kuamua kumpigia kirufi lakini kama hawa watu wawili wangekaa chini na kuelewana na wakasaidiana kupiga kampeni jimbo lilikuwa rahisi sana pole kaka mwang"ombe kateni rufaa kama mnaona mahakama haijatenda haki,