Civilian Coin JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 2,305 Reaction score 4,390 Jan 5, 2017 #1 KESI ya LEMA sio ya KISIASA ni ya KICHAWI&MAJINI. NB: " Muacheni tu huyu Deo Kisandu, akitoka Lema na yeye tunamshughulikia, wanatuharibia dini yetu ya kichawi..." Mwisho wa kunukuu kutoka Mtaani.
KESI ya LEMA sio ya KISIASA ni ya KICHAWI&MAJINI. NB: " Muacheni tu huyu Deo Kisandu, akitoka Lema na yeye tunamshughulikia, wanatuharibia dini yetu ya kichawi..." Mwisho wa kunukuu kutoka Mtaani.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Jan 5, 2017 #2 Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko.
Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko.
TataMadiba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2014 Posts 9,868 Reaction score 5,753 Jan 5, 2017 #3 Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kuilewa mada humu jf.
H harunams Member Joined Jul 20, 2012 Posts 49 Reaction score 60 Jan 5, 2017 #4 asigwa said: Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko. Click to expand... Ni kweli unayosema lakini signature yako inapingana na mawazo yako. (Mkubwa hakosei)
asigwa said: Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko. Click to expand... Ni kweli unayosema lakini signature yako inapingana na mawazo yako. (Mkubwa hakosei)
Marlex Jr JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,823 Reaction score 2,425 Jan 5, 2017 #5 Mchawi au wachawi hapo ni wapi au yupi? Je... 1.Lema mwenyewe 2.Serikali kuu 3.Mawakili wa serikali 4.Chama cha Lema 5.Familia ya Lema 6.Wewe mwenyewe D. Kisandu Yaweza kuwa ZIKA ipo Tanzania si utani.
Mchawi au wachawi hapo ni wapi au yupi? Je... 1.Lema mwenyewe 2.Serikali kuu 3.Mawakili wa serikali 4.Chama cha Lema 5.Familia ya Lema 6.Wewe mwenyewe D. Kisandu Yaweza kuwa ZIKA ipo Tanzania si utani.
Laptop01 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2009 Posts 1,426 Reaction score 881 Jan 5, 2017 #6 Kisandu salama kaka? Pole sana. Wanataka kukushughulikia?! Jamani, mtaa gani huo na wanataka kukushughulikiaje? Hebu funguka zaidi kaka. Tupashane hbr vema kabisa ili likitokea jambo angalau tuwe na abechede!
Kisandu salama kaka? Pole sana. Wanataka kukushughulikia?! Jamani, mtaa gani huo na wanataka kukushughulikiaje? Hebu funguka zaidi kaka. Tupashane hbr vema kabisa ili likitokea jambo angalau tuwe na abechede!
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Jan 5, 2017 #7 Kazi sana
Clueless14 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,111 Reaction score 4,773 Jan 5, 2017 #8 TataMadiba said: Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kuilewa mada humu jf. Click to expand... Tatizo mtoa mada haelewekagi anajiandikiaga toka Mars anakoishi
TataMadiba said: Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kuilewa mada humu jf. Click to expand... Tatizo mtoa mada haelewekagi anajiandikiaga toka Mars anakoishi
shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,800 Reaction score 4,319 Jan 5, 2017 #9 asigwa said: Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko. Click to expand... Umeongeaa ukweli
asigwa said: Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko. Click to expand... Umeongeaa ukweli
shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,800 Reaction score 4,319 Jan 5, 2017 #10 Huyu jamaa kilaza sana. Hata kama unatafuta cheo. Muige hata le mutuz uandishi wake utaheshimiksa
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,900 Reaction score 52,036 Jan 5, 2017 #11 asigwa said: Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko. Click to expand... Kisandu ana tatizo binafsi huwa naona kama anatatizo la ugonjwa wa akili.Ndugu zake wamuwaishe mirembe kabla haujaenda mbali.
asigwa said: Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified?? Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko. Click to expand... Kisandu ana tatizo binafsi huwa naona kama anatatizo la ugonjwa wa akili.Ndugu zake wamuwaishe mirembe kabla haujaenda mbali.