majonzi Senior Member Joined Sep 25, 2007 Posts 176 Reaction score 22 Nov 6, 2012 #21 Kwani JK alivyofanya ziara Arusha alikwenda kumalizana na majaji? CCM watabanaaaa mwisho wataachi na hiyo itakuwa aibu yao USHINDI UPO TU
Kwani JK alivyofanya ziara Arusha alikwenda kumalizana na majaji? CCM watabanaaaa mwisho wataachi na hiyo itakuwa aibu yao USHINDI UPO TU
Nicholas JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 25,260 Reaction score 7,217 Nov 7, 2012 #22 Mzee wa Rula said: Mtoa mada sioni kitu cha kujitosheleza katika mada yako. Hukumu ya Lema ni tarehe 08.11 danadana zinatoka wapi??? Tunasubiri hukumu kisha tuone yatayojiri kutokana na hukumu hiyo. Click to expand... Kwani unadhani tetesi zilizovuja zitakuwa na official claims.Kwa ujumla ikifika 2015 CCM watakuwa wamejimliza kote hata kwa wafadhili wanaofuatia ni wana arusha na wengine wanofeel karama ya Lema.
Mzee wa Rula said: Mtoa mada sioni kitu cha kujitosheleza katika mada yako. Hukumu ya Lema ni tarehe 08.11 danadana zinatoka wapi??? Tunasubiri hukumu kisha tuone yatayojiri kutokana na hukumu hiyo. Click to expand... Kwani unadhani tetesi zilizovuja zitakuwa na official claims.Kwa ujumla ikifika 2015 CCM watakuwa wamejimliza kote hata kwa wafadhili wanaofuatia ni wana arusha na wengine wanofeel karama ya Lema.
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,264 Nov 8, 2012 Thread starter #23 Danadana zimeanza. Kesi baada ya wk mbili