DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Uliwaambia kilichomo kwenye Memory card kiachwe?,maana kama wamefanya kinyume na makubaliano hapo kweli,lakini kama hukuwaambia,wakichofanya ni kutibu tatizo na kukupa simu ikiwa zima..
hakuna kesi hapo, wakikuambia wamekupa simu mpya, memo card mpya,
...mbaka ...
Mbaka ...
Unapo peleke kifaa kwa fundi/ customer service repair unapaswa kuwa umetoa data zako zote muhimu na hawezi ku na jukumu la kujibu kwa upotevu wowote ule wa data, jifunze hata kwa fundi wako wa mtaani kabla hujawafikia star times