Kesho tutaandamana au?

Mbowe katangaza anaahirisha Maandamano kuwezesha Wanachama wake kushiriki pambano la Simba na Yanga!
 
polisi hawajafanya mazoezi ya kutulinda
 
polisi hawajafanya mazoezi ya kutulinda
hahahahahahaahahaahha, wako Buguruni muda huu wape muda kwanza. Au mmeahirisha kupisha zoezi la kupanda miti kesho Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…