aeleke jiwe.
Pyeeeeeeeeee kipenga premier league England kinalia,ndo kipindi sawia chetu kinababa kuganda kwenye luninga,iwe bar iwe nyumbani.Katika hili kinamama tulieni msitubughudhi na tukichelewa msituulize,jueni tulikuwa tunaangalia mpira.Swali la nyongeza?
mwanga wewe,umejuaje bilionea bishanga ni asenale?Watu pipooooo!! na hivi mashetani tumemchukua RVP, gunners kwisha kazi!! nitakuwa bega kwa bega na mchuchu kwenye EPL maana wote tunapenda soccer...tatizo kubwa tupo timu tofauti!! Akiwa na washkaji siku nyingine ni byee tu, VIZA anapata 24hours bila kumsumbua.
Halafu nahisi wewe kama Arsenal, khe khe
aaaaaah....visingizio tele ndo vitaanza..kitu kdg tu 'nilikuwa savannah naangalia mpira'
we BADILI TABIA kwani kibabu chenu kinaangaliaga mpira? Macho yenyewe kinayo?Walaaaaaah kumbe kesho ndo tunaanza kugombea remoti? Tobaaaaaaaaa
Kweli Bishanga wewe ni adict, kinara na nguli wa MMU.aeleke jiwe.
Pyeeeeeeeeee kipenga premier league England kinalia,ndo kipindi sawia chetu kinababa kuganda kwenye luninga,iwe bar iwe nyumbani.Katika hili kinamama tulieni msitubughudhi na tukichelewa msituulize,jueni tulikuwa tunaangalia mpira.Swali la nyongeza?
mwanga wewe,umejuaje bilionea bishanga ni asenale?
mwambie asikununie bana,its all about football hakuna la ziada.
mbwembwe zako nikajua lazima ni walewale ''vikombeless'' asenale..he he!!
Kweli Bishanga wewe ni adict, kinara na nguli wa MMU.
Sasa hii sredi
yako inahusiana vipi na MMU?