Sina manzi am singooo
Wikiendi hii Kwa upande wangu mchumba atakaa pembeni kwanza,,Hii ni Kwa ajili ya Mama na Baba Acha niwawezeshe kadri nilivyo nilijaaliwa ili wiki nao wakale kitimoto yao na Wine!!
Tujuane tutakaofunga tatu kavu[emoji18][emoji18]
Tunataka kuiombea Tanesco kipenziKuna nini tena mpk mifungo
Hongera kwa sababu ganHongera[emoji28][emoji28][emoji28]
Hongera kwa sababu gan
😂 sitokuwepoKwa sababu kesho utaungana nasi kuiombea tanesco
Nashukuru Mamii!!Mambo mazuri hayo ubarikiwe zaidi
walio single fungueni pm tafadhali
Mbuzi na kuku wengi watateketea kweli, kwa wale wenye meno makali
Habari zenu wakuu, poleni na hekaheka na harakati za siku nzima
Kesho ni ijumaaa msisahau kuwatumia wapenzi wenu hela jamani, mtumie babe wako hata ka 6000 akale biriani au chips msiwe wachoyo jamani [emoji3][emoji3][emoji3]
Sisi tulio single kesho tufunge na kuomba tuiombee TANESCO
View attachment 2757394
Tatizo wao wanapenda kutumiwa tu, kutuma wao hawatakiWatumie mabebez wako wote hela ya birian
Njoo nikupe offa ..... wacha kuombea tanescoTujuane tutakaofunga tatu kavu[emoji18][emoji18]