that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 386
- 1,247
Tatu kavu daah bila kutumia mpira wa aina yoyoteTujuane tutakaofunga tatu kavu😌😌
Tukale biriani kwa Buheti kesho.. mida ya saa 7Tujuane tutakaofunga tatu kavu😌😌
Sawasawa,, tena ngoja nitege alarm kabisa 😃😃Tukale biriani kwa Buheti kesho.. mida ya saa 7
Muone 😬😬... ndo unachokiwaza😂😂Tatu kavu daah bila kutumia mpira wa aina yoyote
Hamna wewe ndio umesema tunafunga tatu kavu mpira kwapani 👊🏼😆Muone 😬😬... ndo unachokiwaza😂😂
Namaanisha kavu bila kula chochote 😃😃Hamna wewe ndio umesema tunafunga tatu kavu mpira kwapani 👊🏼😆
Ndio hivyo hivyo hatutakula kitu kavu tatu hadi tuwe hoi kabisa 👊🏼😆Namaanisha kavu bila kula chochote 😃😃
Tujuane tutakaofunga tatu kavu[emoji18][emoji18]
Tukale biriani kwa Buheti kesho.. mida ya saa 7
Hahaha utanicall 🤙Sawasawa,, tena ngoja nitege alarm kabisa 😃😃
kwakweli tukapande mlima😥😥Twende mlimani kabisa
Tatizo simu kila nikikupigiaga unatumika, sijui umeniblock🙄🙄Hahaha utanicall 🤙
Mnapenda kupanda milima mirefu mirefu sio mifupikwakweli tukapande mlima😥😥
Text ✉️ mambo ya kupiga piga simu was 1980s.Tatizo simu kila nikikupigiaga unatumika, sijui umeniblock🙄🙄
Vijana wa hovyo watakuja kusema "6000 kuweza"
Kugharamia ni muhimu sana