youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Karibu kamanda
Wanajukwaa,
Nilikuwa mwanaccm miaka ya nyuma 1990_2000, nilikuja kukisusa chama hicho kuanzia mwaka 2007 kwa kuona hakikidhi yale ninayoyahitaji, tangu hapo nikaanza kutafuta upande ambao upo salama kidogo ili nishirikiane nao katika kuijenga Tanzania bora,
Mnamo mwaka 2010, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kilionesha ukomavu wake na ndipo nilipoanza kukiunga mkono ila sikuwa mwanachama, kwa mwaka huu nimeshirikiana nao kampeni kikamilifu na wamenifurahisha kwa kampeni safi walizofanya hasa mgombea wao wa Uraisi Mh Edward Ngoyai Lowassa,
Kwa akili zangu timamu, nikitambua umuhimu wa kuwa mwanachama kwenye chama bora, bila kulazimishwa na mtu yeyote, kesho nitaachana rasmi na Ccm na kuwa mwanachama halali wa Chadema, chini ya mwamvuli wa UKAWA.
Sitakushangaa sana wewe uliyebaki Ccm leo hii kwani kila mtu na mtazamo wake ila ninachokiamini, miaka mitano ijayo utakuwa umerudi kwenye mstari kama mimi.
Tukutane kesho jangwani.
Mungu Ibariki Tanzania.
youngsharo
Umefanya maamuzi sahihi

Mwenyewe kaombea ccm kuraUmemsikia lakini Lowassa leo huko Ifakara kasema wazi muipigie kura CCM.
Wanajukwaa,
Nilikuwa mwanaccm miaka ya nyuma 1990_2000, nilikuja kukisusa chama hicho kuanzia mwaka 2007 kwa kuona hakikidhi yale ninayoyahitaji, tangu hapo nikaanza kutafuta upande ambao upo salama kidogo ili nishirikiane nao katika kuijenga Tanzania bora,
Mnamo mwaka 2010, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kilionesha ukomavu wake na ndipo nilipoanza kukiunga mkono ila sikuwa mwanachama, kwa mwaka huu nimeshirikiana nao kampeni kikamilifu na wamenifurahisha kwa kampeni safi walizofanya hasa mgombea wao wa Uraisi Mh Edward Ngoyai Lowassa,
Kwa akili zangu timamu, nikitambua umuhimu wa kuwa mwanachama kwenye chama bora, bila kulazimishwa na mtu yeyote, kesho nitaachana rasmi na Ccm na kuwa mwanachama halali wa Chadema, chini ya mwamvuli wa UKAWA.
Sitakushangaa sana wewe uliyebaki Ccm leo hii kwani kila mtu na mtazamo wake ila ninachokiamini, miaka mitano ijayo utakuwa umerudi kwenye mstari kama mimi.
Tukutane kesho jangwani.
Mungu Ibariki Tanzania.
youngsharo
Umemsikia lakini Lowassa leo huko Ifakara kasema wazi muipigie kura CCM.
Kama hupendi uhuni,ubabaishaji na lawitism baki ccm
hongera kamanda kwa kuchagua mabadiliko,mungu yupo nawe!
Leo Lowassa kaiombea kura CCM,halafu wewe unafikiria kuhama,ebu kwanza jaribu kumuomba ushauri Lowassa