Tutaanza ustaarabu mkuu tatzo harakat za kuwahi vchwa ndo mana mnaona kama tunawasumbua hiviWawe wastaarabu
Mnakera aisee riziki haitafutwi kwa kuvunjiana heshima huko tena mkikuta mtu mgeni wa mji ndio mnamsumbua mno na kumuibia juuDaah naona leo mnatuandama sisi watu wa mbezi aisee mnataka tukale wapi ....? Asubuh mpka jioni napiga debe jioni naingia kwenye kitengo cha kuuza supu apo mbezi chini stand ya kinyrezi
Ila mimi sio mwizi mkuu wajinga wajinga wasio waadilifu ndo hufanya hvo wahuni wapo kila sehemuMnakera aisee riziki haitafutwi kwa kuvunjiana heshima huko tena mkikuta mtu mgeni wa mji ndio mnamsumbua mno na kumuibia juu
Jinsia yake tafadhalii...Nimekutana na mmoja mstarabu kweli ,kaniuliza Kama nasafiri nikamjibu hapana,akaniuliza unaingia stend kwa ajili ya huduma gani?nikamjibu nafuata mzigo,ofisi nilikua siijui akanipeleka ,Bila kudai ata kumi,akaniambia siku nikisafiri nimcheki,tukapeana tano akasepa