Nchumbe Raia
Member
- Dec 22, 2011
- 5
- 0
kwa hiyo kazi ya moi ni dressing tu hakuna kazi nyingine.
nikwamba manes awazingatie muda wakufanya kazi kuliko kujipangia muda wanaotaka waoSijakuelewa unataka kumaanisha nini
juzi mwakyembe kaingia kazini saa nne mbona hatushangai.huku ni kdhalilishana. Nesi huyo agawe dawa, atandike vitanda,sasa atajigawa vipi? Mbona ofisi zingine wanaanza kazi saa nne hulalamiki? Tofautisha muda wa kufika kazini na muda wa kuanza kazi. Kuna muda wa kufanya usafi,kupeana report za usiku nk. Ile siyo ofisi ya mkurugenzi kwamba akiacha vitu jioni akija anavikuta kama alivyoacha. Kumbuka kuna vitu vinavyowekwa kimaandishi na vinatumika na watu wa shifti tofauti.