Kero yangu juu ya Salamu...

Kwani salamu lazima?
ndo nyie tukikutana nikikwambia habari...unasema dogo anajifanya kakuaa,dawa ni ukauzu ataukikutana na kibibi unapita kama huakiona
 
tatizo hiyo kaya unopuliza ndo inakufanya uwe unasalimia salimia sana, mi najua mkuu
:majani7:mkuu kaya yangu nikipuliza napenda kukaa mwenyewe..nikikaa na watu naona wananizogoa,maana nakuwa na michongo mingine kichwani..afu nikika na raiya wakianza kusimuliana habari za molov ndo naona wananirushia mbaya,napenda kukaa mto temi niangalie maji tu
 
ndo nyie tukikutana nikikwambia habari...unasema dogo anajifanya kakuaa,dawa ni ukauzu ataukikutana na kibibi unapita kama huakiona

Hujajibu swali.

Unalalamika kama salamu lazima.

Kwani salamu lazima?
 

cha maana ni kukaa kimya na kuwa busy na mambo yako,wakikusema unaachana nao.
 
Na wao wanakuona kakomaa maana watoto wa siku hizi wa mwaka tisini hana tofauti na wa mwaka sabini. Tatizo linaweza kuwa lako na mnakomaa na kukesha kwenye mablog na manyumba ya starehe hata hamzingatii masaa ya kupumzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…