Kero ya umeme Tegeta

shamna

Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
37
Reaction score
19
Huku upande wa Mwenge hadi Tegeta kumekuwa na zoezi la kukata umeme, naomba TANESCO waweke wazi kama ni mgao, maana kila Jumatatu, Jumatano,Ijumaa wanakataa umeme, sasa kama ni mgao si watangaze tu kuliko kukata na kurudisha umeme.
 
nimeshindwa waelewa muda wa kulala saa nne usiku wanakata na joto hili hakulaliki watoto wadogo wanapata tabu mno na joto
 
namfahamu kigogo mmoja wa huko nipatie namba nikuunganishe naye
 
sidhani maana mie nilimpa tatizo labgu akanisaidia please nipatie nimkabidhi
 
Ni hitilafu ambazo zinatokea katika miundombinu ya Tanesco kwa kipindi hichi ambacho Shirika linafanya ukarabati ambao utapelekea kupatikana kwa umeme wa uhakika.
 
mie sidhani kama mtu anaweza kukata umeme bila sababu.asipokata ikatokea hatari inakuwa bala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…