Kuwa mzalendoMichango ya "lazma" ya mbio za mwenge wa uhuru huwa ni kero kwa wafanya kazi na wafanya biashara kila mwaka.
Naomba serikali ilitambue hili kama kero zinazopaswa kuondoshwa kwa wananchi wake.
Ikibidi basi mbio hizi zitengewe bajeti kama ilivyo kwa Maadhimisho ya siku za Uhuru na Muungano.
Watumishi wanasulubishwa na kuwekewa vinyongo na visasi na wakuu wao wa wilaya na halmashauri kisa michango ya mwenge!... hii sio haki.
Uzalendo kwa LAZIMA?, mtumishi hajaongezwa Mshahara 3yr, hajafanyiwa CARTEGORIZATION alafu unamkata mchango wa mwenge bila ridhaa yake.....?, Ni kwa waliozea vya KINYONGA ndio watakubaliana uzalendo wa Kulazimishana. By da way mwenge kwa mazingira tuliyo nayo sasa hauna faida yeyote, sana ni hasara tu ya KUUSAMBAZA.Kuwa mzalendo
Acha utumwa wa fikra wewe pimbi. Upo Mwenge wa Olympiki unakimbizwa Dunia nzima mbona husemi??? Kisa wanaokimbiza ni Wazungu et?? Mwenge ni alama ya Nchi yetu. Alama zetu kikwetukwetu mtuache. Kama unakereka rudi huko kwenu Burundi ukasukume mkokoteni manina zako.Hii kitu inaitwa mwenge ni upuuzi mtupu. Ukiuliza umhimu wa mwenge unaambiwa upuuzi ambao hauendani costs za kuzunguka now inchi nzima
Mie mwenyewe nachangia mwenge, by the way, ktk andiko sijaona kiasi cha uchangiaji kinachobinishwa kama ni kero au huchangia Milioni! Mbona categorization haijafanyika lakini tunachangia harusi, tuna honga! Tunajiunga na vifurushi, bia zinanyweka nk! Mzee baba, uzalendo ndio jawabu.Uzalendo kwa LAZIMA?, mtumishi hajaongezwa Mshahara 3yr, hajafanyiwa CARTEGORIZATION alafu unamkata mchango wa mwenge bila ridhaa yake.....?, Ni kwa waliozea vya KINYONGA ndio watakubaliana uzalendo wa Kulazimishana. By da way mwenge kwa mazingira tuliyo nayo sasa hauna faida yeyote, sana ni hasara tu ya KUUSAMBAZA.
Zis iz nanisensiko! Hau kam e pasoni kani rizoni laiki zati!? Rili!? Ripiti: ZIS IZ VERI NANISENSIKO![emoji53]Mie mwenyewe nachangia mwenge, by the way, ktk andiko sijaona kiasi cha uchangiaji kinachobinishwa kama ni kero au huchangia Milioni! Mbona categorization haijafanyika lakini tunachangia harusi, tuna honga! Tunajiunga na vifurushi, bia zinanyweka nk! Mzee baba, uzalendo ndio jawabu.
Usilalamike kwa kuandika tu hapa jukwaani. Lalamika kwa vitendo mamlaka husika zipo kawalalamikie. Vinginevyo endelea kuvumilia kuitwa mtumishi wa umma.Uzalendo kwa LAZIMA?, mtumishi hajaongezwa Mshahara 3yr, hajafanyiwa CARTEGORIZATION alafu unamkata mchango wa mwenge bila ridhaa yake.....?, Ni kwa waliozea vya KINYONGA ndio watakubaliana uzalendo wa Kulazimishana. By da way mwenge kwa mazingira tuliyo nayo sasa hauna faida yeyote, sana ni hasara tu ya KUUSAMBAZA.