KERO Kero ya bajaji na bodaboda jijini Dar

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mdau dsm

Member
Joined
Jun 5, 2025
Posts
14
Reaction score
13
Hasa maeneo ya Kisutu na kariakoo bajaji na bodaboda wamekuwa kero sana hawafauti foleni wala alama za barabarani na huko wakisababisha foleni zisizo na sababu tunaomba hatua dhidhi zichukuliwe ku punguza hii kero.

Hatuna na shida na biashara yao lakini ni lazima wapewe elimu ya kuendesha kwa utulivu.
 
Wapo walio dharau na kuziponda kazi hizo ila sasa ndo vyanzo vya mapato yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…