Kenyatta, Kagame call EAC member state to open up borders

Kama Kenya na Rwanda wakiwa na sera nzuri za kutengeneza kazi kwaajili ya wananchi wao wasingepoteza muda mwingi kufikiria nchi gani itatoa ajira za wananchi wao. Ni muda muafaka kwa nchi zetu kufikiri zaidi jinsi gani tunaweza badili mfumo wetu wa elimu na kuzalisha vijana wasiosubiri kuajiriwa. Vyuo vyetu vifunguke zaidi na kuangalia nini kinanendele nje ya chuo. Wakufunzi na wahadhiri wetu waache kutumia vitini (lecture notes) za miaka kumi iliyopita, wabadilike kulingana na dunia iendavyo ili kunusuru jamii yetu.
 
 
Tatizo hawa jamaa hata kabla ya kufungua milango tayari wameshavamia na kujipenyeza mwisho wa siku nchi zingine zitakapokubali wao tayari wana uzoefu na kujihalalisha, kuna Wakenya kibao na Wanyarwanda hasa maeneo ya Mwanza tayari wanaishi kinyume cha taratibu kama Watz na wana enjoy maisha kwahiyo once tukipitisha tu tayari wao watakuwa na pa kuanzia
 
Tuwapebwatu wetu elimu bora. tuandae wajasiria mali wengi zaidi. tukivuka hapo tutashindana vema.
 
Hawa watu hawana mbio ndefu.hapo kesho tu tutaanza kushuhudia vita ya Uhuru na Pk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…