Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,941
Uhuru ni sawa na JK tu!
Itakuwaje kama ICC itawakamata miguu na kuwatia hatiani? Je katiba mpya itawaruhusu waendelee kutawala wakihukumiwa kuwa wahalifu? Hebu wakenya tusaidieni kujibu hili kwamza.Mpeni nafasi, naamini ataleta mabadiliko.
Hana haja ya kupapatikia biashara na mali, ni tajiri already! mpeni chansi awashangaze wenye mawazo hasi kila siku? hawezi, hawezi, wewe waweza???
Good Luck Uhuru, the road is long, rough and challenging but you will be ...there!
kalieni hawezi hawezi....muone nchi ya wenzenu itakavyoleta mabadiriko, nyie kalieni mazoea, uvivu, ufisadi, majungu na porojo!!!!!!!
:juggle:
Itakuwaje kama ICC itawakamata miguu na kuwatia hatiani? Je katiba mpya itawaruhusu waendelee kutawala wakihukumiwa kuwa wahalifu? Hebu wakenya tusaidieni kujibu hili kwamza.
mimi si mkenya ni mu TZ mwenzio. Lakini ni dhahiri wakenya wameliona na walilijua hili na bado kwa imani yao kwake wamemchagua yeye na Luto. who are we kuanza kutia shaka? let us wish them well.
Hata sisi tuwe tayari ku TAKE RISK na kujaribu uongozi na utawala tofauti.
Mambo ushindani bwana na ndio upimao UBORA.
y do u pipo underate uhuru to me he has brought mote developments than Raila jst compare Gatundu and kibera u wil see a big difference another thing uhuru is the obe that started the economic stimulus plan that has brought about employment to many jst give him time and see