kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,211
- 5,286
Every positive case has been announced, some by name and others by description of their gender & history of travels / contacts.
GoK as usual, these 17 Mps are a big secret, to the extent that parliament was suspended abruptly with no explanation
Tatizo la wakenya ni uwezo mdogo sana wa kufikiria, hawajui nini wanataka, nilimsikia waziri wao wa Afya anasema Kenya ina bahati kwasababu huu ugonjwa Kenya ni " mild", ninajiulza anatumia vigezo gani wakati ukitumia utaalamu kuzichunguza hizo "statistics", Corona unawaua wakenya Mara mbili zaidi ya Marekani, Italy na Spain, au alitaka vifo Kenya vizidi idadi ya walioambukizwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya 3.5%Italy cases - 135,000
Deaths - 17,000
fatality rate - 8%
Spain cases - 140,000
Deaths - 14,000
fatality rate - 10%
USA cases - 400,000
Deaths - 13,000
fatality rate - 3.2%
Kenya cases - 172
Deaths - 6
fatality rate - 3.5%
Enda uangaliwe hicho kichwa chako.
Pia, kwa kusema ugonjwa ni mild, inaweza maanisha kwa transmission, sio kwa vifo pekee.
Yaani watu wengi hawagonjeki hapa kama tulivyo ona nchi zingine.
Kwanini nyinyi watanzania lazima mpaka basic mathematics na grammar lazima muelezwe?
Kenya 3.5%
Germany 2%
China 2.3%
Nigeria. 1.8%
Rwanda. 0%
Uganda. 0%
Hiyo bahati ambayo Kenya imeipata ni IPI?. Acheni kudanganyana, hakuna cha bahati badala yake ukilinganisha na nchi zinazoizunguka, Kenya ndio nchi iliyoathirika zaidi na ndiyo yenye vifo vingi vya Corona kuliko, TZ+UG+ET+RW+BR+SS combined.
Acheni kujiliwaza mtaendelea kwisha msopokua makini, Corona haina ukabila wala haipokei rushwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
So your happy for having this rate . This rate is alarmingItaly cases - 135,000
Deaths - 17,000
fatality rate - 8%
Spain cases - 140,000
Deaths - 14,000
fatality rate - 10%
USA cases - 400,000
Deaths - 13,000
fatality rate - 3.2%
Kenya cases - 172
Deaths - 6
fatality rate - 3.5%
Enda uangaliwe hicho kichwa chako.
Pia, kwa kusema ugonjwa ni mild, inaweza maanisha kwa transmission, sio kwa vifo pekee.
Yaani watu wengi hawagonjeki hapa kama tulivyo ona nchi zingine.
Kwanini nyinyi watanzania lazima mpaka basic mathematics na grammar lazima muelezwe?
Hiyo tweet umeiangalia, This particular person is just a Kagame hater. He has been asked to give prove of his accusations and he couldn’t provide even a name of the deceased."ninajiulza anatumia vigezo gani wakati ukitumia utaalamu kuzichunguza hizo "statistics", Corona unawaua wakenya Mara mbili zaidi ya Marekani, Italy na Spain, au alitaka vifo Kenya vizidi idadi ya walioambukizwa?"
Also, reporting 0 from a statistically insignificant number is mathematically useless.
The true fatality rate can only be observed when the sample size is large enough.
Pia kuna hii. Serikali za udikteta kama Rwanda na Tanzania zina mambo. China yenyewe dunia nzima imesema vifo vyao ni zaidi ya mara kumi walichotangaza.
So your happy for having this rate . This rate is alarming
Itakua poa sana yaniTukape muda hako kawaziri uchwara, kanaweza kufikisha maambukizi kwa mzee baba TZ ikalipuka kwa shangwe.
Hiyo tweet umeiangalia, This particular person is just a Kagame hater. He has been asked to give prove of his accusations and he couldn’t provide even a name of the deceased.
Mkishashindwa ndio mnatafuta sababu, mbona Rwanda wanaendelea kutoa idadi ya walioambukizwa, huku Kenya ikimkata mtu aliyesema kwamba Kenya imeficha idadi ya watu waliokufa kwa Corona."ninajiulza anatumia vigezo gani wakati ukitumia utaalamu kuzichunguza hizo "statistics", Corona unawaua wakenya Mara mbili zaidi ya Marekani, Italy na Spain, au alitaka vifo Kenya vizidi idadi ya walioambukizwa?"
Also, reporting 0 from a statistically insignificant number is mathematically useless.
The true fatality rate can only be observed when the sample size is large enough.
Pia kuna hii. Serikali za udikteta kama Rwanda na Tanzania zina mambo. China yenyewe dunia nzima imesema vifo vyao ni zaidi ya mara kumi walichotangaza.
Mkishashindwa ndio mnatafuta sababu, mbona Rwanda wanaendelea kutoa idadi ya walioambukizwa, huku Kenya ikimkata mtu aliyesema kwamba Kenya imeficha idadi ya watu waliokufa kwa Corona.
Kwahiyo yule aliyesema kwamba kuna watu walikufa kwa Corona Kenya lakini serikali inaficha akakamtwa na serikali yenu, yeye alikua anasema uongo, ila huyu wa Rwanda kwako unaona yeye anasema ukweli, wanafiki wakubwa ninyi.
Vipi serikali yenu hadi Leo inaficha ukweli kwamba kuna wabunge 17 wameathirika?, wakati waziri MKUU wa UK anatangazwa, nini mnaficha, eti kuna Uhuru wa habari Kenya. Kenya is a shit hole and failed state
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kufikiria kitu kimoja muhimu, hizo nchi za ulaya zimekuwa na Corona kwa miezi miwili, Kenya imeingia juzi tuu hapo.A country like Kenya having a fatality rate much better than most of Europe, equal to the US.. Yeah, I'm happy.
Those reporting 0% either do not have enough testing numbers to make correct statistical analysis, or are just lying.
Umesahau kufikiria kitu kimoja muhimu, hizo nchi za ulaya zimekuwa na Corona kwa miezi miwili, Kenya imeingia juzi tuu hapo.
Statistics nini bana? Watu tulifanya mpaka higher mathematics tukacheza na Stirling's approximation, mambo ya gamma function hayo, we unajua hata Euler's identity ni nini?Kama ungeingia darasa la statistics, ungefahamu ile nonsense umeongea.
We are talking of fatality rate, which is a percentage.
Hatuongei kuhusu absolute numbers.
Wanajifanya wazungu wanakula vyakula vya kizungu chunk foods.Tatizo kenya hawali vizuri
ulitarajia tushindie uji wa chumvi na mhogo wa kuchemsha?Wanajifanya wazungu wanakula vyakula vya kizungu chunk foods.