Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,426
Ndio maana huwa naonaga we jamaa ni mgoloko sana, yaani bonge la mshamba..Mimi nalipenda jumba hili kuliko lolote lile. Wajua, watu hudhani eti jumba la vyoo ndilo jumba lakisasa, wemekosea, Vyoo huwa ni hali ya kupunguza gharama, na mtu akijenga kutumia vyoo ni vyema aweke na teracota, maana yake ni, majumba yakizunguka mahali na yawe ni vyoo tupu huleta reflections ambazo huwa sio nzuri kwa wapita njia na hata wakaazi. Hizo reflection huongeza joto mahali pale na kuleta discomfort. Miji mingi iliostawi hutumia muundo huu, mfano London.
Majumba ya vyoo yametiwa teracota, kama hapa
Nadhani architects wa Kenya wanajua haya mambo ndio maana, hutumia mifumo kama hii, angalia jumba kama hili
la KCB Tower Upper hill. Lina Vyoo lakini bado kuna teracota
Tunazngumzia UAP !! However if kiswahili huwezi andika kwa English maana sielewi unachoongea, au ndyo Kikamba, sijui Kijaluo or KikikuyuKameze vijembe babu... Jengo ni la Kenya, kwa Sasa twajenga la mita 330 same venue upper hill, na mawili pia mita 200,juu angani pale pale upper hill ,Britam twafungua next month.... Just appreciate and shut up.
Majumba ya VYOO??Mimi nalipenda jumba hili kuliko lolote lile. Wajua, watu hudhani eti jumba la vyoo ndilo jumba lakisasa, wemekosea, Vyoo huwa ni hali ya kupunguza gharama, na mtu akijenga kutumia vyoo ni vyema aweke na teracota, maana yake ni, majumba yakizunguka mahali na yawe ni vyoo tupu huleta reflections ambazo huwa sio nzuri kwa wapita njia na hata wakaazi. Hizo reflection huongeza joto mahali pale na kuleta discomfort. Miji mingi iliostawi hutumia muundo huu, mfano London.
Majumba ya vyoo yametiwa teracota, kama hapa
Nadhani architects wa Kenya wanajua haya mambo ndio maana, hutumia mifumo kama hii, angalia jumba kama hili
la KCB Tower Upper hill. Lina Vyoo lakini bado kuna teracota
Eti cheap glasses!! Kaulize bei yake uambiweTell them wanjala ,that glass is pretty but without steel ànd concrete, it's nothing but delicate stuff. Iam no fun of glass, iam a fun of heights and therefore not everyone is in love with your pathetic cheap glasses on TPA, a dwarf tô UAP.
Sasa kwa akili zako unafananisha na TPA hyo?Hahahah
Sasa kwa akili zako unafananisha na TPA hyo?Uchizi cyo mpaka uvute marijuana!!
Unatuletea upuuzi wako huo!! Hata Mawasiliano Tower haiifikii
Naijua Mzumbe UniversityKiswahili Mie nakijua Sana aisee!!UDSM ndo nini wewe wa mtaa wa Walatope ,'hata Kenyatta university waijua wewe?
Nenda kabebe maiti z KDF somaliaTihahahhaaaaa..... Tulia nikupanguzie machozi......
Nenda Kasukume Pangaboy kutoka hiyo ka-airstrip ya Arusha.
View attachment 441854
View attachment 441855
View attachment 441856
Ila kutuharibia soko la ATCL ni haki? Tumeinunua ili ituingizie Pesa kama Taifa lenye watu zaid ya Million 45 na yeye anatuharibia biashara kwa kuiita PANGABOI halafu ww unaona haki? Si ndiyo?Si vyema kabisa kufanya mzaha na Maisha ya mwanadamu, tafakari Sana hizo picha za hao waliopata mauti (KDF) soldiers ulizotuma kwenye huu uzi na ujihoji moyoni mwako, kero ufanyalo mtandaoni.
Nenda kabebe maiti z KDF somalia
Any Question?
Si vyema kabisa kufanya mzaha na Maisha ya mwanadamu, tafakari Sana hizo picha za hao waliopata mauti (KDF) soldiers ulizotuma kwenye huu uzi na ujihoji moyoni mwako, kero ufanyalo mtandaoni.
Hahahaaa.... Mwanaccm mwenyewe. Inchi inaungua. Watu waki na njaa na bado unayumbayumba huku kwa kwa kenyan site.... Dangote atafunga virako aende zake ungali bafo uko huku.... Duuuh... Akili zenu sijui kabisaaIla kutuharibia soko la ATCL ni haki? Tumeinunua ili ituingizie Pesa kama Taifa lenye watu zaid ya Million 45 na yeye anatuharibia biashara kwa kuiita PANGABOI halafu ww unaona haki? Si ndiyo?
Kumbe mkuki kwa Nguruwe eeeeh