Mimi nakuita kijana maana mimi nina more than 53 years sasa. NINAKUKANYA KATIKA JINA LA YESU UACHANE na hiyo dhambi ya USHOGA maana kama BIBLIA inavyosema katika kitabu cha MWANZO kwamba Mungu alisema na tuumbe mtu kwa mfano wetu, basi MUNGU akamuumba MWANAUME na MWANAMKE
Kwenye Chapters zinazoendlelea akasema ZAENI MKAONGEZEKE MKAIJAZE NCHI.
Ssa niambie wewe na uhusiano wako huo na WANAUME Wenzako utatimizaje agizo la MUNGU la kuzaa na kuongeza idadi ya watu ?
Wapi kwenye BIBLIA aliposema Mungu aliruhusu MWANUME AOANE NA MWANAUME?
TUBU DHAMBI ZAKO NA UACHE MARA MOJA YESU YUKO TAYARI KUKUPOKEA.
Mimi mama yako
Inaonekana kasomea Mombasa Mkuu!
mbona vyuo vikuu viko huku Waiting List - gay Meetups - Kikuyu ukifungua hio link chini unaweza ukaona mashoga kwenye miji hii Other nearby cities:Nairobi, Thika, Kiambu, Ngong, Naivasha, Limuru, Machakos, Kajiado, Karuri, Murang'a, Kangundo, Kijabe, Othaya, Kangema, Sagana, Mavoko, Magadi, Maragua, Konza, Kandara, Makuyu, Ruiru
Umesahau HQ ya MOMBASA au wewe ni mdau unayehusika huko?
yes it is a sin and if you are a christian show me where it is written in the bible that god created man and man and asked them to live as husband and wife?. God created man and wife and asked them to deliver children and add the number of people in the earth.
yes it is a sin and if you are a christian show me where it is written in the bible that god created man and man and asked them to live as husband and wife?. God created man and wife and asked them to deliver children and add the number of people in the earth.
Thats what i understand .
unatarajia kupambana na usiyoyaelewa na kuelezea ukifikiri utashinda?
MWISHO WATAMCHAGUA RAISI WA KENYA, HOHOHOHOHOOO
By the way, hivi kule KDF pia wako hawa watu???au ndio mambo ya Obama, Dont ask dont tell
Naona wataka kutifuana na upepo isiyoonekana, una matumaini