Vipochopocho kama kuwauzia vijana wenu wa kiume na wakike vipo ila sio kingine. Na hali hii haitawaacha salama na vizazi vyenu vya hapo baadaeSisi mlima tunauona kwa macho maana hatuna haja nawo, ni kama nyie waswahili mpo mpo tu na kila siku mnauona au kuusikia lakini ni wachache sana kati yenu ishawajia akilini kwamba mwende mkaukwee kama wafanyavyo watalii.
Sasa pia, watalii wanaokuja kuukwea tunawaelekeza wavuke mpaka japo ni wachache, kuna kundi kubwa la watalii tumewaandalia mambo matamu matamu ya kuja na kutulia kwetu huku wakiutazama maana hawana haja ya kuukwea.
Nyie wazembe mnasubiri hadi waje hao wanaotaka kukwea, hamjitumi kuandaa vipochopocho pembeni kwa wale wanaotaka kuuona tu.
Mi nasemaga kama wanautaka waje wauchukue na sisi tuchukue pwani yetu kuanzia Malindi Lamu Mombasa na kadhalika. Wale watu wa kule ni wabongo 100%I think there is a need you guys to get to understand how you degrade yourselves before the truth by always claiming this nonsense.
Let you try understand the reality coz you can't change the truth that is clear to smart minds
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Chunga maneno yako sasa Tz tuko kwenye enzi mpya mwambieni huyo rais wenu akohoe kwamba kilimanjaro ni yenu muuone kitakachotokea waulizeni uganda walichokipata na waulizeni malawi joto la jiwe walilotaka kulionja ....endeleeni kupambana na al-shabab msiwashe mto ambao hamtakuwa na uwezo wa kuuzimaHuo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
Yaani iwe win win situation sio?Mi nasemaga kama wanautaka waje wauchukue na sisi tuchukue pwani yetu kuanzia Malindi Lamu Mombasa na kadhalika. Wale watu wa kule ni wabongo 100%
Do it ASAP Buddy, we are eagerly waiting for uKenya should Annex that mountain ASAP as Russia did with Crimea...there will be little or no resistance from Danganyika.
Ndio. Huko pwani ya Kenya tayari kuna hawa watu wanajiita "Mombasa Republican Council" slogan yao kuu ni "Pwani Si Kenya".Yaani iwe win win situation sio?
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Mkiendelea na such suggestions Tanzania nayo itarespond in kind. We'll fund Mombasa Republican Council alafu tuone who'll be first to cry foul.Kenya should Annex that mountain ASAP as Russia did with Crimea...there will be little or no resistance from Danganyika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ile bandari ya lamu wanatujengea[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio. Huko pwani ya Kenya tayari kuna hawa watu wanajiita "Mombasa Republican Council" slogan yao kuu ni "Pwani Si Kenya".
Nahisi serikali ya Tanzania iwape support hawa majamaa (kifedha, intelligence, logistics etc) taratibu pwani yote ya Afrika Mashariki itarudi Tanzania.
Huu mchezo hauhitaji hasira!
You must be kidding guys,Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
Rudi kwa kesi yenu na Ug pale migingo before thinking of KilimanjaroKenya should Annex that mountain ASAP as Russia did with Crimea...there will be little or no resistance from Danganyika.
Mmewaandalia mambo matamu matamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo umeishiwa kabisa! Wazungu hawahitaji kuona kwa macho wakiwa mbali, wao wanataka kuweka rekodi za kuapanda mlima
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Hebu lete rekodi za mwaka huu za utalii tulinganishe na mwaka jana!Ndio maana pamoja na kwamba mna kila kivutio cha utalii lakini nyie maskini wa kutupwa, maana mumekaa hapo kizembe mkisubiri watalii waje kuupanda. Inafaa iwaingie sio kila mtalii anawaza kukwea mlima. Kuna wale wanataka kuwa na good time on the backdrop of mount Kilimanjaro, na ndio wengi. Hivyo unawapa vifurushi/packages ili waje na kufurahia, hawa ndio huwa tunawakula hela, tunawaambia waje pale Amboseli na kupata raha.
Huo mlima tunaupigia hela sana na mtalalamika milele lakini wajanja hatulali maana wazembe nyie, mna liinchi lenye kila baraka lakini mumelala usingizi wa pono. Nilishangaa baada ya kung'aka ng'aka kuhusu madini halafu mnaishia kuogeza asilimia 2% tu za mirahaba.
[emoji23] [emoji23] mlima alshababutatzo wakenya wanajitekenya na kucheka wenyew, tangia lini mlima kilimanjaro kuwa Kenya, may be mlima al-shababuuu
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23]Sasa "ghani" ndio nini au unataka kughani mashairi RIP Swahili
Hebu lete rekodi za mwaka huu za utalii tulinganishe na mwaka jana!
Usinambie eti uchaguzi ndo sababu ya kushuka maana hiyo ni shida yenu binafsi, nchi nyingine zinafanya uchaguzi kwa amani!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Anhaaa kumbe hutaki rekodi, basi kaa sindano ikuingie!Rekodi unataka ya nini, kwa vivutio mlivyo navyo mnafaa kuongoza Afrika na sio kushindana na nchi ndogo na kame kama Kenya. Nyie mumeshinda hadi Afrka Kusini kwa vivutio bora, nchi yenu ni muungano wa nchi mbili na cha kushangaza mpo maskini balaa kwenye LDC.
Mtakula sna kwa mijicho ila kuupanda msahauHuo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
Mtakula sna kwa mijicho ila kuupanda msahau
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app